Picha:Interview ya Music Express Na Joh Makini, “Nikumbatie” Hata mimi nina hisia kwanini nisiimbe mapenzi???

Joh Makini aka Mwamba wa Kaskazini amekuwa na mahojiano na kipindi cha musicXpress kinachoruka Channel Ten kila ijumaa pia kinaonekana kupitia hapa mara baada kikiwa tayari Moja kati ya mambo aliyoyazungumzia Joe Makini ni kufafanua kuhusu kampuni ya weusi inavyofanya kazi na kukuweka wazi washabiki kuwa weusi si kundi bali… Read More →