Ally Choki: “NIKIFA ASHA BARAKA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU” Kauli ya Lady Jay Dee Yajirudia

MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa. Katika maongezi yake Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha Baraka (Mkurugenzi wa ASET) na Baraka Msilwa (Mwenyekiti wa ASET). Asha Baraka na Baraka Msilwa ni mtu na kaka yake…. Read More →