LADY JAY DEE NAYE AGHAIRISHA SHOW YA MIAKA 13 KUPISHA MSIBA WA MANGWEA

Mwana muziki Lady Jay dee Ameghairisha show yake ya miaka kumi na tatu iliyokua ifanyike tarehe 31 mwezi huu katika ukumbi wa Nyumbani Lounge kupisha msiba wa Msanii Mwenzie Albert Mangwea aliyefariki jana nchini Afrika ya kusini. Lady Jay Dee anaghairisha show hiyo mpaka itakapotangazwa tena . Kuhusu walionunua… Read More →