FishCrab Hawakuwa na taarifa Za msanii wao Mr.Nice kusain mkataba mpya na GrandPa
Kutoka lebo ya Fishcrab, Management ambayo ilikuwa inamsimamia Mr Nice baada ya kurudi katika game hivi karibuni ambapo msanii huyu alikuwa chini ya Lamar, limetoka neno hasa baada ya msanii kuingia rasmi na kuanza kazi na lebo ya Grandpa ya huko kenya wakati ambapo wengi walikuwa wanafahamu juu ya mkataba… Read More →