OffSideTrick Ndani Ya Bills Jumapili hii ft BabyJ&Mzee Yusuf

Usikose kutazama interview yao kwenye Kipindi cha music Express Channel Ten leo saa Mbili Usiku pia kitapatikana hapa baada ya Muda huo.
Watu wanaosadikika kuwa ni wahuni wa kitechnolojia wameonekana kutenda mambo yao katika Official website ya Daddy wa muziki wa rap Tanzania, Proffesa Jay http://www.professorjaytz.com/ ambayo kwa mujibu wake mwenyewe, site hii ilikuwa bado ipo katika matengenezo na kuna mtu maalum ambaye alikuwa amemuasign kazi ya kuitengeneza. Hivi ndivyo site ya msanii… Read More →
Kwa waliokuwa na hamu ya kumuona shaa akiwa robo tatu ya mwali wake na kivazi cha kuogelea tuu, huu sasa ni wakati wao….. Coca Cola pop Star maarufu kwa jina la Shaa amedai kuwa yupo tayari kuvua nguo zake hadharani na kuyaanika maungo yake nyeti na kubakiza kichupi cha kuogelea … Read More →
Habari ipo hivoo… Presidaa Prezzo akiwa katika picha ya pamoja na Wema pamoja na Kajala Prezzo kashatua mjini na tayari kukinukisha pande za New Maisha Club leo usiku. Mapozz ya picha muacheeee Ndio: upigapo picha shurt kujiachia New Maisha Club ndio sehemu ya kujiachia Leo usikose.
Hatimaye tumepata jibu la kwanini Judith Mbibo aka Lady Jaydee amekuwa akitweet vitu vizito weekend iliyopita. Kama hukufaniwa kuziona tweets hizo ni kwamba mwanadada huyo alishusha mfululizo wa mabomu kuelekea kwa kituo kimoja cha radio na kujikuta akiongeza aka mpya, Anaconda. Na sasa imebainika kuwa mwanamuziki huyo mkongwe na mjasiriamali… Read More →
Ni baada ya Q chilla kutofanya show kwa miaka mitano on stage sasa anakuja mwanza kuwapatia raha mashabiki wake kwa ngoma zakezote kali zilizo hit na zinazo hit by now akipewa back up na Malkia wa miduara TZ Shilole ni pale joint mpyaa Club Fusion Mwanza tar 31 sunday… Read More →
Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu kuhusiana na mpenzi wake na Diamond Platnumz, Penny Mungilwa kuwa mjamzito, hatimaye leo Diamond amethibitisha ni kweli wanategemea mtoto wao wa kwanza. Nakumbuka tetesi hizi ziliibuliwa na mtandao wa Bongo 5 baada ya kuhisi picha ya Penny akiwa Aiport na kivazi alichokua… Read More →
Ommy Dimpoz Akiwa Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere aliporeje leo mchana toka Moshi aliposhiriki Kibirudani katika Mbio za Kilimanjaro Marathon. Ommy anatua leo Dar tangu alipoondoka kuelekwa Uingereza alipokua na ziara ya kimuziki, kwani ilimbidi kurudia uwanja wa ndege qa Kia ili aweze kuhudhuria Mbio hizo za kilimanjaro Marathon.