Msanii wa kundi la P’square linalounganisha waanii mapacha kutoka Nchini Nigeria Peter Okay Amefunga ndoa ya kimila Jana jumapili 17Nov na Mama Wa Mtoto wake Lola Ambaye alimvisha pete ya uchumba kwa zawadi ya Gari ain ya Range Rover miezi michache iliyopita’ Peter Anafunga Ndoa Baada ya Muda Mfupi Kuja… Read More →
Msanii wa miondoko ya kizazi kipya Linex Ameomnyesha kufurahishwa na mtoto wake aliyeletewa akiwa na miaka minne tayari bila yeye kufahamu alikuwa na mtoto muda wote. Mtoto wa Linex Aliyekutana naye baada ya miaka Minne Amshare picha za mtoto wake kupitia mtandao wake wa Picha Instagram lakini akagoma kuongelea… Read More →
Baada ya Tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China Rapa Mahiri Wa Bedi ya Akudo Impact Wazee wa masauti Kanal Top, Uongozi Wa Bendi Anayoifanyia kazi wamelizungumza swala hilo Ambapo Meneja wa Bendi ya Akudo Impact, Ramadhan Pesambili, Novemba 14, mwaka huu Amesema kwamba wamepata taarifa za kushikiliwa kwa… Read More →
Mwanamuziki Ray C aliyewahi kuathirika na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya amesherehekea Mwaka Mmoja tarehe 8/11 Tangu Afanikiwe kuacha kutumia madawa hayo kwa msaada wa hospital ya mwananyamala kitengo cha kuhudumia waadhirika wa matumizi wa madawa hayo kwa kupata dozz maalum inayosaidia kuweza kuachana na matumizi ya madawa hayo…. Read More →