The Finest ya Mwana FA na miaka 13 ya Jaydee zagongana Tena

Baada ya kuahirishwa kwa show za Mwana FA na ya Lady Jaydee zilizokuwa zifanyike May 31, show hizo tena zimepangwa kufanyika siku moja, June 14. Mwana FA ambaye jina lake halisi ni Hamis Mwinjuma alitweet May 29 kueleza kuwa kama mazishi ya Mangwea yakifanyika mapema June 14 itakuwa ni… Read More →