Waandaji wa Kili Music Awards wakutana na vyombo vya habari

Tuzo za Muziki Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards, leo imekutana na wana habari kuendeleza utoaji taarifa zinazohusisha mchakato wa kuwapata washindi katika kila category na kusisitiza kuwa wapenzi wa wanamuziki na kazi zao wafanye hima kwani muda wa kupiga kura unaelekea ukingoni. Tarehe 31-Mei-2013 ndio siku ya mwisho… Read More →