Ziff yakerwa na ushiriki Mdogo wa filam za kitanzania

Waandaaji wa tamasha la kimataifa la filamu la Zanzibar, ZIFF wamedai kusikitishwa na muitikio hafifu wa waigizaji wa filamu Tanzania katika kuwasilisha filamu zao. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, ZIFF imedai iliitisha upokeaji wa filamu kwaajili ya tamasha la 16 la nchi za Jahazi Septemba 2012 na kuweka… Read More →