Happy 5th Anniversary ya Jay&Beo ilivo happen huko Cuba

Hivi ndivyo Baba na Mama Ivy Blue walivyoamua kuisherekea miaka mitano ya harusi yao huko Havana Cuba walipotua juzi na Private Jet…. na katika siku hii kubwa kwao, Mastaa hawa walipokelewa poa sana na wenyeji wa Cuba ambapo all the tym Jigga alionekana ‘akijienjoy’ kwa kula Cigar wakati Baby Mama… Read More →