Mama Yake Kim Kardashian Kris Amtosa Serengeti Boy Wake Corel

Kris Jenner hajaonekana pamoja na Serengeti boy wake corey mwenye miaka 34 kwa wiki sasa na imeripotiwa kuwa Kris ameshambwaga mpenzi wake huyo mwenye umri sawa na mtoto wake Kim Kardashian Chanzo kimueambia mtandao wa Radar Online kwawa Kris na Corey hawajakuwa pamoja kwa muda sasa “Kris alikuwa anamtumia kama mtu… Read More →