THAI VILLAGE: Ijumaa Ya Kwanza Baada Ya Kurudi Kutoka Uarabuni
Band inayofanya vizuri hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki Sky Light Band ilisafriki kuelekea nchini Oman kwa ajili ya kufanya show iliyofanyika siku ya Eid Jumapili 5 Oktoba 2014, show ilifanyika katika Ukumbi wa Ras Al Harma Reaction Center kwa mafanikio makubwa. Band hiyo imerejea jijini Dar es salaam siku… Read More →
