Kim Kardashian amepost picha nzuri ya mtoto wake na North wakiwa pamoja, ikimuonesha Kim K alipokuwa mtoto, pembeni ya post ameandika “Mini Me”, wengi wa mashabiki wake wamesema hapana, North anafanana na baba yake Kanye West zaidi kulliko yeye!! Wewe unaonaje?