Usher Raymond Amemsaidia August Alsina Kwa Sababu Pia Yeye Alisaidiwa
Usher Raymond akipiga stories na Power 105.1 kupitia kipindi cha The Breakfast Club aliongelea albamu yake inayokuja ya, UR na tour yake ya UR Experience tour ambayo inaanza Novemba 1. Usher pia alisema aliona inafaa kabisa kumleta August Alsina kwenye muziki baada ya msanii huyo kumuomba Usher amsaidie. Janet Jackson… Read More →
