Big Brother Africa Msimu Wa 9 (Hotshots) Yapata Mjengo Mpya
Waandaaji wa reality show Big Brother msimu wa 9 maarufu kama hotshots wametangaza kwamba wamepata studio mpya inayofaa na kufanya show hiyo iendelee kama ilivyokuwa imepangwa. Big Brother Hotshots ilihairishwa baada ya jumba hilo lililopo Sasani studio huko Johannesburg Afrika kusini kuungua moto na kutekeza vitu muhimu katika jumba hilo… Read More →
