Hali Ya Bibi Wa Fashion Police Joan Rives Yazidi Kuwa Mbaya, Mwanae Melisa Aongea
Kwa mujibu wa kituo cha Television cha E kinachorusha vipindi vyake mkongwe katika fani ya chekeshaji Bibi Joan River yupo chini ya uangalizi katika chumba cha wagojwa mahututi katika hospitali ya Mount Sinai Jijini New York Moyo wa bibi Joan Ulisimama ghafla kwa muda wakati akiendelea na pasuaji wa koo… Read More →
