Mkali wa YMCMB Boss wa Young Money Lil Wayne inavyonekana mpaka sasa mstari aliouchana Jay Z kwenye Watch The Throne akiwa na Kanye West bado unamsumbua kichwani.
Kama unakumbuka hapa hapa kupitia Salma Msangi.com nilishaandika kuhusu mstari huu ikaonekana kama kuna kabeef kachini chini kati ya Jay Z na Lil Wayne lakini kila mmoja alivyoulizwa alikataa.
Lakini Lil Wayne bado akipata nafasi anatoa ya moyoni kwa sababu ukisikia hiyo line tu unajua Jay Z amemdiss Wayne lakini indirect metaphors, Wayne hajakubali aliache hilo lipite hivyo hivyo, ingawa alishasema Jay Z is God.
Kwenye mstari wa Jay Z katika wimbo wa Watch the throne Jay Z kuna line anasema “Baby Money” katika wimbo huo Jay Z anasema kwamba Baby yani Boss wa YMCMB Bryan Birdman Williams anakuza utajiri wake, Lil Wayne akiwa kwenye Cash Money Pre-Grammy party Wayne amedondosha lines ambazo zinajibu mistari ya Jay Z Wayne anasema “I met a bad red bone, I took the b….. home / I asked her what she want to watch, she said surely not The Throne.”
Baada ya hayo yote Wayne alishajibu kwenye wimbo wa It,s good na Jay Z amerudisha moto akakubali akasema beef ni sehemu ya mchezo wa hip hop.
Pia katika tukio hilo Wayne ameongelea kidogo juu ya Christina Milian kusaini Young Money.Christina Milian baada ya kuonekana na Wayne hata aina ya kushikana mikono wakajua anadate lakini inavyooenekana ni kama kikazi zaidi, mwanadada kasaini Young Money.