Ilikuwa Siri Hatimaye Yajulikana Ni Nani Anatoka Na Miley Cyrus!!

Mkali wa ngoma ya Wrecking Ball mwanadada ambaye anafuata nyayo za Riri imesemekana anatoka kisirisiri na producer wake aliyemtengenezea albamu zake zilizofanya vizuri kwa miezi nane sasa, mshikaji anafahamika kama Mike Will Made It, vyanzo vya stories hii vimetokea kupitia Us Weekly. “Kila mtu aliyekaribu naye anajua wamekuwa pamoja kipindi… Read More →