Baada Ya Kumng’ata Mchezaji Mwenzie Uwanjani, Hii Ndio Adhabu Aliyopewa Luis Suarez
Mchezaji wa Uruguay Luiz Suarez amefungiwa miezi minne kutojihusisha na shughuli zote za mpira kwa miezi minne kwa kumng’ata beki wa timu ya Italia Georgia Chiellin. Mchezaji huyo wa Liverpool mwenye miaka 27 pia amefungiwa miezi nane katika mechi za kimataifa, ikianzia katika mechi zote zilizobaki za Kombe la dunia… Read More →
