Tukio baya sana lililotokea katika Kombe la dunia 2014 nchini Brazil ni lile la Suarez kumng’ata mchezaji wa timu ya Italia Giorgio Chiellin, lakini tukio linguine ambalo FIFA wanalifanyia uchunguzi ni lile la nguo ya ndani ya Neymar kitu ambacho FIFA wamekataza unaweza ukachukulia ni utani lakini hapana.
Huwezoi ukawa Oganization ambayo haipati kitu kutokana na wachezaji wanaoharibu, Inawezekana Neymar alivaa nguo ya ndani ambayo sio ya wadhamini,
Ilionekana wakati Neymar akibadilisha tisheti na mchezaji wa Cameroon.
Kitu ambacho FIFA wanakilinda ni udhamini ambao wanapata kutoka kwa wadhamini kupitia nguo mbali mbali.