NBA Yamfungia Mmiliki Wa Timu Ya Mpira Wa Kikapu Ya L.A Clippers, Donald Sterling Maisha Baada Ya Kutoa Maneno ya Kibaguzi

Chama Cha Mapira Wa kikapu Nchini Marekani NBA kimemfungia Maisha Na Faini Ya Dola Za Kimarekani Milioni $2.5 Mmiliki wa Wa Timu ya L.A Clippers Donald Sterling baada ya kutoa maneno ya kibaguzi kwa watu weusi wakati anazungumza na mpenzi wake katika simu , Maongezi Yaliorekodiwa na kusambazwa na mtandao… Read More →