Oh Riri… Hakutaka kujisumbua na Ma Bra wakati hali ya hewa inaruhusu ati, Mwanamuziki Rihanna alijiamulia kwenda kuangalia Mechi ya mpira wa kikapu Huko Barclays Center New York Ijumaa huku akiwa amevalia kiguo cha mitego mitupu
Babe Ririi Alikua Amevalia kivest cheupe kilichokuwa kinaonyesha hasa matiti yake yalivyojichora maana yake hakuwa amevaa brazia,
Kwa raha zake akiwa Confortable kabisa tena akiwa amekaa siti za mbele kabisa macho ya washabiki yaligeuka kwakwe badala ya mchezo ulokua unaendelea
Jionee