New Video: Shakira – Can’t Remember to Forget You ft. Rihanna
NANI KAFUNIKA?
Du hii suruali ya jeans ya Msanii Diamond Platinum sijui ni moja au anazo nyingi zinazofanana, Amekuwa anaonekana nayo mara kibao sehemu tofauti tofauti na siku tofauti tofauti, sehemu nyingine akiwa tu kitaa, au studio, sehemu za interview, viwanja vya ndege akisafiri hata katika shows pia ameonekana nayo Kwa upande… Read More →
Hii inathibitisha ya kuwa hata huko kwa wenzetu kwenye maendelea makibwa kisanaa hasa ya muziki kuwa mambo ni magumu na kila siku wasannii hata wale wakubwa sana wanaendelea kutuia nguvu za ziada kuendelea kubaki katika nafasi zao ili kuepusha kufunikwa na vizazi vipya vinavyokuja kwa kasi sana kwenye game industry… Read More →
Mwanamziki Justine Bieber ameonekana akijifariji katika fukwe za bahari huko Panana baada ya kuwa nje kwa dhamana kwa kosa la kuendesha gari akiwa ametumia vilevi vya Pombe na Bangi huku akitumia leseni iliyomalizika muda wake lakini pia kushiriki mbio za magari zisizo rasmi Bieber alikamatwa na kuwekwa ndani baada ya… Read More →
Wazazi wa North West Kanye Na mchumba Wake Kim Kardashian Wametanganza rasmi kuuaga ukapera na kutenda tendo la ibada La Ndoa hivi karibuni Kanye na Kim wawili hao ambao kwa sasa ni wazazi wamesema wanatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita mwaka huu huku harusi hiyo ikigharamiwa kwa kiasi kikubwa… Read More →
WABUNIFU mbali mbali kupamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions… Read More →
Washindi watakaosafiri kwenda angfa za juu na Maseko DJ mmoja mwenye umri wa miaka 25 nchini Afrika Kusini anatarajiwa kuwa mwafrika wa kwanza kufika katika anga ya juu zaidi. Mandla Maseko ni mmoja wa watu 23 ambao wamejishindia nafasi ya kuweza kufika katika anga ya juu mnamo mwaka 2015…. Read More →