Picha: Mastaa watupu uzinduzi wa Tamthilia mpya ‘khona”, Itaonekana Dstv Hivi Karibuni
Ijumaa Pale Sertena Hotel, MultChoice Tanzanua Kupiti Channel zao za Africa Magic Movies walizindua Tanthilia inayokwenda kwa jina La KONA iliyochezwa na kutengenezwa na wasaniii kutoka Afrika mashariki. Tamthilia hiyo itaanza kuonyeshwa kuanzia jumatatu ya tarehe 26 /08 /2013 katika channels za Africa Magic Entertainment na Africa Magic na itakuwa ikionyeshwa siku… Read More →