Hivi ndivyo Peter Okoye wa kundi la P’Square anavyotumia Muda wake na familia yake kabla ya safari za kikazi.
Kupitia mtandao wa InstaGram Peter amepost picha zinazomuonyesha akicheza na watoto wake huku akijaribu kuendesha vigari vya watoto wake katika kuashiria furaha tu ya kuwa na Familia
Hata hivyo peter aliandika katika moja ya picha
Akimaanisha “Muda wa familia kabla hatujaenda safari ya Kikazi Us na Canada”
Tazama picha hapa