Angelina Jolie Atangaza Kukiondoa Kizazi Chake

Miaka miwili iliyopita msanii maarufu wa kike duniani Angelina Jolie ambaye pia ni mke wa msanii mkubwa Brad Pitt alitangaza kufanyiwa upasuaji wa kukata matiti yake yote mawili kama njia ya kujiepusha na hatari ya kupata kansa ya matiti. Hivi karibuni Angelina Jolie ametangaza kufanyiwa upasuaji mwingine mkubwa wa kuondoa… Read More →