Aua Na Kufukia Mwili Dar
Kufuatia kufukuliwa kwa mwili wa mrehemu FARAHAN MALULI uliokuwa umezikwa ndani ya nyumba ya makazi maeneo ya Sharif Shamba manispaa ya ilala jijini Dar es salam, hatimaye mwili huo umezikwa leo na ndugu wa marehemu. Imeshuhudiwa mwili huo ukiagwa na ndugu, jamaa na marafiki huku baadhi yao wakielezwa kusikitishwa na… Read More →