Askari Waagiza Wazazi Waliomuiba Mtoto Wao Hospitali Mwenye Matatizo Ya Ubongo Wamrudishe Kwasababu kifaa Kinachomfanya Aishi Kinaisha Muda Wake Leo
Utafutaji mkubwa unaendelea pamoja na kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya mtoto mwenye umri wa miaka 5 Ashya King aliyekuwa na uvimbe katika ubongo wake ambaye alitoroshwa na wazazi wake kutoka wodini bila idhini ya madaktari. Hali ya mtoto huyo ipo katika hatari kutokana na kulishwa kwa kutumia mrija… Read More →