Hatimae Yule Mwanamke Aliyenusurika Kifo Kwa Kuasi Dini, Meriam Ibrahim Awasili Marekani
Mwanamke wa Sudan aliyetoroka kutoka nchini humo baada ya kunusurika hukumu ya kifo kwa kosa la ‘kuasi dini ya kiislamu’,Meriam Yahia Ibrahim Ishag, amewasili Marekani. Alihukumiwa kunyongwa mapema mwaka huu lakini baadaye akaachiliwa huru mwezi Juni baada ya ulimwengu mzima kukemea uamuzi huo uliotolewa na mahakama moja nchini humo. Taarifa… Read More →