Oscar Pistorious Hatimaye Asamehewa Na Mama Yake Reeva Steenkamp
Katika watu waliokuwa wakimpa wakati mgumu Oscar Pistorious ni mama yake mzazi wa mpenzi wake Reeva Steenkamp, katika kesi moja iliyoitwa siku za nyuma Oscar Pistorious alilia lakini mama yake Reeva hakumuonea huruma zaidi ya kumwambia muone kwanza hata aibu hana analia unafki. Lakini hatimaye mama huyo amesema amemsamehe Oscar… Read More →