Kitu ambacho kimetazamwa kama ni cha kuogopesha kwa watu wengine, mke wa aliyekuwa rais wa Philippines Imelda Marcos amefikisha miaka 85 leo na ametembelea mwili wa rais huyo wa zamani wa Philippines Ferdinand Marcos huko Ilicos Norte.
Alibusu jeneza lake hilo la kioo ambapo mwaili wa rais huyo ambao haukuzikwa toka alipofariki mwaka 1989.
Mke huyo wa rais wa zamani wa Philippines alisema hongera za siku yake ya kuzaliwa anatamani zielekezwe kwa mume wake kwa kupokea maziko ya kishujaa, hongera hizo zimeendelea kukatiliwa na serikali za nchi hiyo.
Mwili Wa Rais Wa Philippines Ambae Haujazikwa Toka 1989 Watembelewa Na Mke Wake Siku Yake Ya Kuzaliwa Akitimiza Miaka 85
Previous Story
Hali Ya Ulemavu Ya Mwanariadha Oscar Pistorious Inamuathiri
Related Posts
-
-
Picha: Tukio zima la kuapishwa Kwa Uhuru Kenyata Rais Mpya Wa Kenya.
-
Manusura Wa Ajali Ya Meli Korea Kusini Wasimulia Jinsi Ilivyotokea
-
Iphone Gold Ndio Zawadi Walizopewa Waalikwa Katika Harusi Ya Binti Wa Rais Wa Naijeria
-
Beyonce Aungana Na Hilar Clinton Kuchangia Pesa Za Kampeni Ya Kugombea Uraisi 2015
-
2015 Ni Mwaka Wa Kendrick Lamar Check Heshima Nyingine Aliyopewa
-
Davido Afikisha Followers Milioni 1.5 Awashukuru Fans