Baba Wa Mtoto Aliyebakwa Nigeria Aambiwa Na Polisi Mtoto Wake Alifurahiya Kitendo Hicho
Baba wa mtoto aliyebakwa miaka mitano iliyopita nchini Nigeria, ameambiwa na DPO kwamba binti yake alifurahia kitrndo hicho, Juni 19, 2014 Bwana Danwamu Moses baba wa mtoto huyo amabe kwa sasa anamiaka 16 alibakwa akiwa na miaka 11 lakini malalamiko yake yalikebehiwa. Sasa ameandika barua kwa Kamishna wa Elimu… Read More →