
Baba wa mtoto aliyebakwa miaka mitano iliyopita nchini Nigeria, ameambiwa na DPO kwamba binti yake alifurahia kitrndo hicho, Juni 19, 2014 Bwana Danwamu Moses baba wa mtoto huyo amabe kwa sasa anamiaka 16 alibakwa akiwa na miaka 11 lakini malalamiko yake yalikebehiwa. Sasa ameandika barua kwa Kamishna wa Elimu siku ya tarehe 20 , Juni 2014.
Alisema polisi hawafanyi sawa kutowalinda wasichana, kufeli kwao kuwalinda wasichana san asana vijijini sio kitu kizuri kwa macho ya Wanigeria na dunia, Alimpeleka mtoto wake kituo cha polisi na kuwataka kumkamata mbakaji lakini walimfukuza na kumwambia hakukuwa na ushahidi mbele ya binti yake aliyebakwa na kumwambia binti yake alifurahia kitendo hicho.
Baba wa mtoto alisema ni kitu kibaya kwa polisi kufanya kwa kutowajibika kwa kitu muhimu kama hiki ambacho kitamuathiti mtoto wake kisaikolojia. Mtoto wake na wasicha wengine ambao wameshafanyiwa vitendo hivyo wanahitaji haki, wanahitaji kwenda shule bila kuhofiwa kufanyiwa vitendo vibaya, hawatakiwi kuwaona watu waliowafanyia vitendo hivyo kwa kuwafungulia kesi.
Aliomba asaidiwe kupata haki na usalama kwa mtoto wake na wasichana wengine kjijini,
Baba huyo alisema mbakaji alichukua advantage kwa sababu wanaukaribu na baba wa mtoto huyo kufanya kitendo hiko kwa mwanae na binti yake asingeweza kumwambia mtu yeyote kwa sababu alitishiwa asimwambie mtu yeyote
