Manusura Wa Ajali Ya Meli Korea Kusini Wasimulia Jinsi Ilivyotokea
Watu walionusurika kifo katika ajali ya meli nchini Korea Kusini wamekuwa wakielezea hali ilivyokuwa ya kutisha ndani ya meli ya Korea Kusini ilipoanza kusimama kwa kuyumba, ikiegemea upande mmoja na haraka kuanza kuzama. “Kwa kweli kulikuwa na sauti kubwa na meli ghafla ikanza kuegemea upande mmoja,” amesema abiria aliyeokolewa, Kim… Read More →
