Picha: Tazama Jinsi Jengo Lilivyoporomoka Huko Durban Afrika Ya Kusini Na Kuua
![](http://salmamsangi.com/wp-content/uploads/2013/11/south-3.jpg)
Hili limeshakuwa swala la kawaida sasa kuskia majengo yanaporomoka wakati wa ujenzi ukiendelea katika nchi mbali mbali Duniani, Wakati inatokea hapa kwetu Tanzania tulidhani ni uzembe pekee kwa nchi yetu katika swala la umakini katika kila mmoja wakati wa kutekeleza majukumu yake lakini kwa sasa inaonekana ni tatizo la nchi… Read More →