Ngoma Kali Ya Rais Obama Ya 2015 Ni Ya Kendrick Lamar

First lady yeye amesema ngoma anayoipenda ni “Up Town Funk” wakati Obama alichagua ngoma ya Kendrick Lamar ya “How Much A Dolla Cost” kutoka albamu ya To Pimp a Butterfly” ikiwa ni ngoma yake anayoipenda kwa mwaka 2015, alifunguka hayo wakati akipiga stori People. Na kitabu na filamu anayopenda ni… Read More →