Kim Kardashian Asema Kitu Anachojutia Ni Tape Ya Ngono Na Ray J
Kim Kardashian ameliambia Love Magazine kitu anachokijutia na tape yake yake ya ngono na Ray J, “Kama kuna kitu najutia katika maisha ni hicho, labda hilo ndicho kilichosababisha watu wasikie kuhusu mimi lakini sikuacha kuendelea na maisha yangu, tukio hili lilitokea miaka 12 iliyopita, hapana miaka 13 iliyopita sasa, najaribu… Read More →
