Sijawahi Kusoma Chuo Kikuu, Bilionea Mwanamke Muafrika Awafungukia Wanafunzi Wa Chuo, Asema Haiihitaji Elimu Ya Chuo Kufikia mafanikio.
Moja Ya Wanawake Matajiri Afrika ba mwenyekiti wa Famfa Oil, Mrs Folorunsho Alakija juzi August 27th alisema kwamba hajawahi kusoma masomo ya chuo kikuu, mwanamke huyo aliendelea kwa kusema kuwa haihitaji masomo ya chuo kikuu kufanikiwa katika maisha Mrs Alakija aliyasema hayo wakati anaongea na wanafunzi wa chuo kikuu… Read More →
