The Deal Is Done!! Future Na Ciara Ndoa Imeisha
Siku ya jana imeripotiwa mkali Future na Ciara wameachana na sio wanandoa tena na imeripotiwa kwamba Future yeye ndiye alietaka waachane na Ciara. Future alimshangaza Ciara na pete ya 15 carat diamond wikiendi taarifa za Associate Press kupitia abcnews.go.com zilieleza. Story hiyo iliripotiwa imethibitishwa msemaji wao Chris Chamber, wawili hao… Read More →
