News
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Na Majina Ya Watuhumiwa Wanaopandishwa Kizimbani
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kuwa Wiki Moja Iliyopita Jeshi La Polisi Lilitoa Taarifa Kwa Umma Juu Ya Watuhumiwa Sita Waliokamatwa Na Kufikishwa Mahakamani Kuhusiana Na Tukio La Mlipuko Wa Bomu Uliotokea Tarehe 07/07/2014 Katika Mgahawa… Read More →
Mtoto Wa Miaka 8 Auawa Kwa Kupigwa Risasi Akiwa Kitandani
Mtoto mwenye miaka 8 ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kupita dirishani ikitokea nje na kumpata kifuani akiwa amelala. Askari wa Detroit wanasema risasi hiyo iliyomuua Jakari Pearson, inaweza ikawa ni matokeo ya ugomvi wa nyumbani uliotokea majira ya saa 1:15 usiku Jumatano ambapo mtu asiyejulikana alitembea nyumba na kuanza… Read More →
Kutunguliwa Kwa MH17 Huenda Ni Uhalifu Wa Kivita – UN
Afisa wa umoja wa mataifa anayesimamia haki za kibinaadamu Navi Pilay amesema kuwa kutunguliwa kwa ndege ya kampuni ya Malaysia Airline MH17 mashariki mwa Ukraine huenda ukawa uhalifu wa kivita. Ukraine pamoja na mataifa ya Magharibi wanaamini kuwa wapiganaji wanaoungwa mkono na Urusi waliiangusha ndege hiyo kwa kutumia makombora yanayotoka… Read More →
Papa Francis Aomba Amani
Papa Francis ameomba amani kwa dhati katika hotuba ya kila juma katika medani ya St Peter’s mjini Rome. Aliacha kusoma hotuba aliyoandika kuomba vita vimalizwe na hisia ikisikika kwenye sauti: “makaka na madada, hapana vita, hapana vita, nawafikiria hasa watoto ambao wananyimwa matumaini ya maisha ya maana, ya siku za… Read More →
Somali Nchi Mbaya Zaidi Kwa Kinamama – Save The Children
Shirika la Save the Children limeitaja Somalia kuwa nchi mbaya zaidi duniani kwa akina mama, na limetoa wito wa kuchukuliwa hatua zaidi kuwalinda kina mama na watoto katika maeneo yanayokabiliwa na migogoro. Shirika la Save the Children lenye makao yake jijini London Uingereza, linakadiria kuwa wanawake 800 na watoto wadogo… Read More →
Kundi La Wanamgambo Wa Kiislamu La Jihadi Limesema Mmoja Wa Makamanda Wake Ameuwawa Kusini Mwa Gaza
Kundi la wanamgambo wa Kiislamu la Jihadi limesema mmojawapo wa makamanda wake ameuwawa na shambulio la kifaru karibu na mji ulio kusini mwa Gaza wa Khan Younis. Hamas imekubali usitishaji wa mapigano wa saa 24 kwa misingi ya kibinaadamu muda mfupi baada ya Israel kutangaza kuanzisha tena mashambulizi yake katika… Read More →
Mtu Aliyemtishia Rihanna Kwa Kumuandikia Barua Atiwa Mbaroni
Mtu mwenye umri wa miaka 53 anayeitwa Mcglynn amemtishia Rihanna kwa kumtumia barua sehemu anayoishi.Mtu huyo kutoka New York alikamatwa Alhamisi 24 kwa kumsumbua mwanadada huyo, Kevin anahistoria hiyo na ameshawahi kukamatwa mara 12 taarifa za NY Daily News zilieleza. Barua zilitumwa kwa Rihanna kupitia sanduku lake la posta huko… Read More →
Mariam Ibrahim Mwanamke Aliyewahi Kuhukumiwa Kifo Nchini Sudani, Apokelewa Italy Na Waziri Mkuu Wa Nchi Hiyo
Mariam Yahya Ibrahim Mwanamke wa kisudani aliyewahi kuhukumiwa kifo huko sudani kuwa kuasi dini yake baada ya kuolewa na mwanaume Mkiristo ametua katika uwanja wa ndege huko Italy jana 24july akiwa na watoto wake wawili pamoja na Naibu Waziri wa mambo ya nje wa Italy wa Italy Lapo Pisteli Akiongea… Read More →
Tazama Joka Aina Ya Chatu Lilivyommeza Swala Akamkwama Hatimae Kumtema
Tazama jinsi joka aina ya chatu lilivyommeza swala na kumtema inaonekana swala alikua mkubwa zaidi ya chatu huyo japo tayari alishammeza kwa asilimia 80% Tukio hilo limetokea Billa,Gujarat, India,na hapo ilikua baada ya wananchi kutaka kumuua Nyoka Huyo lakini Bwana misitu akawasihi wasimuue kwakua hana madhara yeyote baadae ndipo walipo mshuhudia… Read More →
