Tukio La Kutisha Jijini Dar Es Salaam – Picha Zinatisha Kama Huwezi Kuangalia Usibonyeze “Read More’
JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura. Uchunguzi… Read More →
