Desmond Tutu Aunga Mkono Sheria Ya Kujitoa Uhai, Akikiita Ni Kitendo Cha Heshima
Aliyekuwa Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana nchini Afrika kusini Desmond Tutu ameingilia kati mjadala kuhusu kuwasaidia wanaotaka kujitoa uhai,akisema kuwa anaunga mkono haki ya wale wanaougua kupitia kiasi kuamua kujitoa uhai kwa heshima. Amesema kuwa alihuzunishwa na vile rafikiye Nelson Mandela alivyoteseka siku za mwisho za maisha yake na… Read More →
