Daktari wa Akili Wa Mwanariadha Pistorius Apata Mshtuki Wa Moyo
Mwanariadha Pistorius akiwa mahakamani Daktari wa akili anayetathmini hali ya mwanariadha Oscar Pistorius katika kesi ya mauaji ya mpenziwe Reeva Steenkamp amepatwa na mshtuko wa moyo. Hatahivyo swala hilo halitarajiwi kucheleweshwa kusikizwa kwa kesi hiyo ambayo itaendelea siku ya jumatatu,upande wa mashtaka umesema. Bwana Pistorius anatarajiwa kukamilisha siku thelathini za… Read More →
