Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aagiza Kufanywa Kwa Ukaguzi Wa Kina Kwa Magari Yote Yanayoingizwa Nchini.
Waziri Mkuu MIZENGO PINDA ameagiza kufanywa kwa ukaguzi wa kina kwa magari yote yanayoingizwa nchini kutoka nje, ili magari yenye Ubora yaweze kuingia kwa ajili ya matumizi ya Serikali na watu binafsi, kwa lengo la kupunguza ajali za barabarani ambazo husababisha vifo na majeruhi. Akijibu swali la mbunge wa Kilwa… Read More →
