Tazama jinsi bonge ya joka aina ya chatu lilivyouwawa na wananchi wenye hasira baada ya kuliona likiwa limetoka ndani ya ngumba ya mtu huku likiwa na kipande cha kaatasi kinachosemakana kina maandishi ya Kitabu Kitakatifu Cha Quraan
Mashuhuda wanasema baada ya mwenye nyumba kupigiwa sim na kuhabarishwa juu ya kilichotokea nyumbani kwake alijibu msimuue huyo ni mtoto wangu wa kwanza
Tukio hilo lililoonekana la ajabu na kujaza umati mkubwa wa watu kushuhudia limetokea maeneoa Ya Sakina Motel 2000 Arusha jana usiku