Iphone Gold Ndio Zawadi Walizopewa Waalikwa Katika Harusi Ya Binti Wa Rais Wa Naijeria

Wakati tunajikakamua na vi Key Holder vi lesso vya Kariakoo au Kama umejitahidi sanaa basi Peni au Vikombe mambo ni tofauti kwa binti wa Rais Wa Nageria Goodluck Jonathan , Faith Ambapo wakati wa harusi yake iliyofanyika jumamosi iliyopita zawadi zilizotolewa kwa waalikwa Ni Simu Aina Ya Iphone zenye Rangi… Read More →