Waziri Wa Fedha William Mgimwa Afariki Dunia Huko Afrika Ya Kusini

Aliyekwa waziri wa Fedha na uchumi William Mgimwa amefariki dunia huko Afrika kusini alikokuwa akitibiwa,taarifa zilizotufikia zinasema Mgimwa amefariki leo majira ya saa tano asubuhi katika hospitali ya Mediclinik Cloff mjini Pretoria. katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue Amesema taratibu za kurudisha mwili wa marehemu zinafanywa na ubalozi wa Tanzania… Read More →