Picha: Jinsi DSTV ilivyofunga mwaka Kwa Sherehe Kubwa Serena Hotel Jana

Kampuni ya urushaji matangazo ya kimataifa ya DSTV jana imesherekea sherehe za kufunga mwaka ambapo imewezakujumuika na waandishi wa habari pamoja na wadau mbalimbali wa kampuni hiyo katika kuufunga mwaka 2013. Akizungumza wakati wa hafla hiyo jijini dar es salaam meneja uhusiano wa Dstv bi. Barbara Kambogi amesema kumekuwepo na… Read More →