Picha: Blond Kim Kardashian akikatiza mitaa ya jiji la Paris Ufaransa

Mama yake na North West kipenzi ya Kanye west amekuwa mpole sana tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza hivi karibuni, hakuonekana sana lakini kwa sasa wazazi hao wamekuwa na safari ya mapumziko katika jiji la Paris chini Ufaransa huku Kim akionekana katika muonekano wa tofauti aliobadilisha nywele zake kwa rangi… Read More →