Picha:za msichana Mtanzania aliekamatwa na unga Egypt/Anatarajia kunyongwa Ijumaa hii

Jana kupitia mtandao wangi wa InstaGram niliweka picha ya msichana anayesemeka amekamatwa na Madawa nchini Egypt na anatarajia kunyongwa ijumaa hii kama sheria za nchi hiyo zinavyoeleza kupitia Blog ya wananchi ya Le mutuz hizi ndio picha za msichana huyu akiwa katika pozi mbali mbali, mpaka sasa kuna maelezo… Read More →